Faida za Evecare kutoka himalaya

Evecare ni tiba asili kutoka india, na imetengenezwa kwa mimea ya Ashoka Tree, Asparagus, Lodh Tree, Malabar Nut.

Kazi na faida za Evecare kwa mwanamke

  1. kurekebisha mzunguko wa hedhi
  2. kupunguza maumivu makali ya hedhi
  3. kuongeza ute na kutibu uke mkavu
  4. Kurekebisha homoni na kuongeza chansi ya kushika mimba
  5. kutibu kuta za uzazi zilizovimba wakati wa hedhi

Matumizi ya evecare

Tumia evecare kila siku kama ulivoelekezwa na muhudumu. Dozi ya evecare inategemea na tatizo lako. Kama daktari amekushauri umeze kopo mbili au tatu, basi tumia hivo bila kusitisha.

Gharama ni Tsh 75,000/= Tuandikie kwa Whatsapp namba 0678626254 kuanza tiba.

Leave a comment