
Himalaya Lukol imetengenezwa kwa mimea tiba ya Asparagus, Fire Flame Bush na Spreading Hogweed
Kazi na faida za Lukol kwa mwanamke
- Kutibu PID
- Kutibu fungus sugu
- Kutibu harufu mbaya ukeni
- Kuondoa uchafu mweupe ukeni usio wa kawaida na
- kutibu maambukizi ya bakteria kwenye uke na maumivu ya uke
Matumizi ya Lukol
Tumia Lukol kama ulivoelekezwa na muhudumu. Meza 2×2 kwa week ya kwanza, kisha endelea 1×2 kwa wiki zinazofuata.